baada ya mtoto wa kike kujichanganya katika anga la filamu
za bongo, yasemekana yeye ndiye malkia wa ukweli wa movie za kibongo, na kwa
sasa hata wakongwe wanaumwa vichwa juu yake, ila ati tatizo lake
ni,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ni saidieni wadau ni kweli au maneno ya town tu.